Wote Lyrics by Harmonize is a Newly released English song. Wote Lyrics are written by Harmonize while the song is produced by BboyBeatz. The song was published on October 28, 2022.
Wote Song Details:
Song: | Wote |
Singer(s): | Harmonize |
Produced by: | BboyBeatz |
Written by: | Harmonize |
Label: | Harmonize |
Release Date: | October 28, 2022 |
Wote Lyrics
Oh.. Oh.. Oh…
Oh… Oh… Oh…
B-Boy…
Mwenzako Zikianza Story Za Mapenzi,
Mfano Wakwanza Ni Wewe..
Hadi Marafiki Zangu Wananicheka,
Naukumbuka Ushenzi Tulofanyaga..
Mi Nawe Mwenzako Mi Nakuonea Vibwenga,
Hata Wakisema Maneno..
Ni Bure Maana Nyani Halionagi Kundule,
Wanachotaka Tuachane Uzurure Watucheke Kikowapi..
Ujana Una Mengi Na Mengine Na Mi Nimefanya,
Siwez Danganya Nishamaliza..
Kila Niliempaga Moyo Autunze,
Basi Aliugawanya Ona Nilihanya Ikaniumiza..
We Unanijali Unanivumilia,
I Wish Tuzeeke Wote..
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho,
Yeah Mule Kuhan..
Unanipenda,
I Wish Tuzeeke Wote..
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho,
Mapenzi Sa Ukiondoka Nitabaki Na Nani..
Mapenzi Ukibaki Nitaondoka Na Nani..
Siwezi Peke Yangu..
Yeah..
Mama Ukiongeza Nitajinenepea,
Unavyo Nigombeza Nakuona Una Care..
Eti Hatujapendeza Wanatufokea Mi,
I Don’t Care Ndo Nishakolea..
Kipofu Nishaona Mwezi Vurugu Vurugu Siwezi,
Leo Sinza Kesho Kinyerezi Mara Mbezi..
Ujana Una Mengi Na Mengine Na Mi Nimefanya,
Siwez Danganya Nishamaliza..
Kila Niliempaga Moyo Autunze,,
Basi Aliugawanya Ona Nilihanya Ikaniumiza..
We Unanijali Unanivumilia,
I Wish Tuzeeke Wote..
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho..
Yeah Mule Kuhan,
Unanipenda..
I Wish Tuzeeke Wote,
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho..
I Wish I Wish..
I Wish I Wish..
Mapenzi Sa Ukiondoka Nitabaki Na Nani,
Mapenzi Ukibaki Nitaondoka Na Nani..
Siwezi Peke Yangu..